May 24, 2017

FIFA YAIPONGEZA YANGA KWA UBINGWA WA LIGI KUURAIS wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF Ndugu Jamal Malinzi leo amesema kuwa Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino ametuma salam za pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara 2016/17 na ameitakia kheri Yanga.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE