May 2, 2017

DKT JESCA MSAMBATAVANGU ASOMEWA SHITAKA LA JINAI MAHAKAMANI LEO AKANA ATOLEWA KWA DHAMANA

Askari  wa FFU  Iringa  wakimfikisha mahakamani  aliyekuwa  mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa  Dkt Jesca Msambatavangu  akifiishwa mahakama ya makimu mfawidhi  mkoa wa Iringa  leo kwa  kosa la  jinai
Askari  wakimpeleka mahabusu Dkt  Jesca aliyesimama mlangoni
Dkt Jesca akifikishwa mahakamani  leo
Baadhi ya  wawakili  watarajiwa  wakiwa mahakamani  hapo
mawakili wasomi  watarajiwa wakiwa mahakamani na  wananchi  wengine  leo
Wananchi  waliofika  kusikiliza  kesi ya Dkt  Jesca  wakiwa mahakamani  leo
 Na matukiodaimaBlog
ALIYEKUWA   mwenyekiti  wa CCM mkoa  wa Iringa  Dkt Jesca Msambatavangu (41)  leo amefikishwa mbele ya a hakimu mfawidhi mkoa  wa  Iringa kusomewa shitaka  moja la kumpiga Neema Nyongole mkazi wa Kibwabwa   katika  kesi hiyo ya jinai  namba 65 ya mwaka  2017 ,Msambatavangu  amekana  kutenda  kosa na ameachiwa kwa  dhamana hadi tarehe 1/6/2017  kesi hiyo  ambayo  upelelezi wake haujakamilika  itakapotajwa  tena .

Habari kamili na  picha zenye mwonekano mzuri zaidi zitakujia  hivi  punde   endelea  kutembelea matukiodaimaBlog0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE