May 9, 2017

DC KILOLO ASIA ABDALAH AWAONGOZA WANA KILOLO KUFANYA DUA /MAOMBI KWA WANAFUNZI WALIOPOTEZA MAISHA ARUSHA

Mkuu  wa  wilaya  ya  Kilolo  Asia  Abdalah  (mwenye  kilemba  cheusi )  akiongoza wananchi  wa  Magana na  Irindi  kuwakumbuka  wanafunzi  waliopoteza  maisha  kwa  ajili ya  gari  mkoani Arusha  leo  kabla ya  kuanza  mkutano wa hadhara  kijijini  hapo ,wa tatu  kulia  ni  meneja  wa  wakala  wa vipimo mkoa  wa Iringa  Zainabu  Kafungo  na  wa  tato  kutoka  kulia ni  diwani wa kata ya Mahenge Shera Ngailo
wananchi wakiwa  wamesimma kwa  ajili ya  kuwaombea  dua  wanafunzi  waliopoteza maisha  mkoani Arusha
Wananchi  wa  Irindi na Magana  wakiwa  katika  dua

Mkuu  wa  wilaya ya  Kilolo  Asia  Abdalah  akiwahutubia  wananchi  wa kijiji  cha  Irindi na Managana  leo

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE