May 18, 2017

BREAKINGNEWS WAANDISHI WAACHIWA POLISI ARUSHA KUWA WALIPEWA LIFTI TU

Habari zilizotufikia zinadai kuwa wandishi wote zaidi ya nane waliokamatwa Leo Arusha na polisi wameachiwa kuwa walikuwa wamepewa lifti tu na polisi hawakukamatwa.

Hii Leo wandishi wa vyombo mbali mbali walikamatwa na polisi mkoani Arusha wakiwa ktk kikao.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE