May 11, 2017

ALBERT MSANDO MSHAURI MKUU WA CHAMA CHA ACT WAZALENDOChama Cha ACT- Wazalendo kimemtangaza rasmi Mwanasheria Albert Msando kuwa mrithi wa Nafasi ya Mshauri Mkuu wa Chama hicho iliyoachwa awazi na Prof Kitila Mkumbo aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji

Kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama hicho Doroth  Semu, Utuezi huo umeanza Mara tangu Mei 8, 2017.

Kabla ya uteuzi huo ndani ya Chama hcho Msando alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE