May 24, 2017

AJALI INAVYOTAFUTWA KWA NGUVU

Dereva  wa  lori  aina ya  Scania  lenye namba  za Usajili T 599BDD akiwa   katika  safari  barabara  kuu ya  Iringa - Dodoma mjini Iringa  huku  akiongea na simu jambo  ambalo ni  sawa na kutafuta ajali  kwa  nguvu kama alivyokutwa na kamera ya matukiodaima eneo la Mshindo  mjini Iringa
Kuna haja ya  askari wa usalama barabara  kuchukua  hatua kwa madereva kama hawa ili  kuepusha ajali

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE