May 17, 2017

AJALI BASI LA KAMPUNI YA KIHANGA LINALOFANYA SAFARI ZAKE IRINGA MJINI NA KILOLO LIKIWA LIMEKWAMA

Basi la kampuni ya Kihanga linalofanya  safari  zake  kati ya mjini Iringa na Kilolo  likiwa  limekwama  eneo la Tagamenda  mjini  Iringa kutokana na eneo hilo kuchepushwa  njia kwa matengenezo ya  barabara  ya Lami
Abiria  wakisubiri basi hilo  kutolewa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE