April 5, 2017

YOTE MAKUBWA YALIYOJIRI BUNGENI LEO JUMATANO APRIL 05


A
 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
A 1
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
A 2
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
A3
 Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
A 4
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mhandisi Ramo Makani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
A 5
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Gerson Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
A 6
 Waziri Mkuu wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ajadiliana jambo na Mbunge wa Chemba Mhe. Juma Nkamia katika akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
A 7
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
A 8
 Baadhi ya wabunge na Mawaziri wakifuatilia kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.  

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE