April 17, 2017

WILAYA YA KILOLO NA UTAJIRI WA HIFADHI YA UDZUNGWA ILA WATU WAKE MASIKINI .......
Ifahamike  kuwa hifadhi ya Udzungwa  inayopatikana katika bara la Afrika, nchini Tanzania, mkoani Morogoro, wilaya ya Kilombero asilimia  na aslimia 80 Hifadhi hii ipo wilaya ya Kilolo ila ukosefu wa miundo mbinu umepelekea hifadhi hii kujulikana zaidi Upande wa Morogoro.

 Jitihada za serikali ya wilaya ya Kilolo chini ya mkuu wa Wilaya hiyo Asia Abdalah na uongozi wa mkoa wa Iringa kupitia kwa mkuu wa mkoa Amina Masenza na kamati nzima ya utalii ni kuona hifadhi za mkoa wa Iringa ikiwemo Udzungwa zinajulikana na ndio maana ya kufunguliwa kwa lango la utalii wa kusini.


Usikose Makala  hii katika  mtandao huu na gazeti la Mtanzania  itakujia  siku  za  karibuni 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE