April 3, 2017

WENGER ATANGAZA KUFIA ARSENAL

Image result for WENGER


Kocha wa kilabu ya soka ya Arsenal Arsene Wenger amesema atasalia kuiongoza kilabu hiyo msimu ujao akisema kustaafu ni kama kufa. Shinikizo la kumtaka Wenger ambaye amekuwa kocha wa kilabu hiyo kwa miaka 20 zimeongezeka baada ya kushindwa katika ligi ya mabingwa ya Champions League katika misimu saba mfululizo na pia kushindwa vibaya katika ligi ya Premier. Akizungumza na wanahabari amesema hatajiuzulu wala kustaafu kwasababu kustaafu ni kwa vijana, kwa watu wazima ni kama kufa.


Image result for WENGER

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE