April 30, 2017

WATUMISHI WENYE VYETI VYAO MANISPAA YA IRINGA WAKUSANYIKA NJE YA OFISI

Pamoja na kuwa Leo ni jumapili watumishi hawa wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamekusanyika nje ya ofisi kutafakari sakata la vyeti feki baada ya Rais kukabidhiwa Orodha hiyo, manispaa ya Iringa inawatumishi wenye vyeti feki zaidi ya 40

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE