April 2, 2017

UZINDUZI WA KANISA JIPYA LA PENTECOSTE TUMAINI GOSPEL CENTRE IRINGA

Mchungaji Kiongozi wa kanisa jipya la Pentecoste Tumaini Gospel Centre Iringa Paul Mtakimwa akitoa salamu Leo 

Mchungaji Paul Mtakimwa akisalimia waumini  
Baadhi ya waumini wa kanisa hilo jipya la Pentecoste Gospel Centre Iringa wakiwa kanisani hapo 

Baadhi ya wageni waliofika kanisani hapo  
Askofu mkuu wa kanisa hilo Dr Rejoice Ndalima akisalimiana na waumini wa kanisa hilo mjini Iringa kwa mkoa wa Iringa kanisa hilo lipo Nyololo Mufindi na Mtwivila mjini Iringa na kwa Tanzania kuna makanisa zaidi ya 200,kulia kwake ni mchungaji kiongozi wa kanisa hilo mjini Iringa Paul Mtakimwa 

Usikose kuendelea kuwa nasi tukio kubwa la uzinduzi litakujia majira ya saa 8 mchana wa leo na utasikia kauli ya mkuu wa kanisa hili kwa Taifa 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE