April 10, 2017

TUTAWAMALIZA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA NCHINI-TAASISI YA ELIMU NCHINI


A
Kaimu Kamishna wa Elimu kutoka Wizara ya Elimu ya Elimu Sayansi na Teknolojia Bw. Nicolas Bureta akizungumza na wadau wa elimu ya watu wazima wakati wa warsha iliyolenga kuibua mbinu na mikakati ya kusaidia kufuta ujinga wa kutojua kusoma, kuandika na kuhesabu kwa vijana na watoto. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya watu wazima Dkt. Fidelice Mafumiko. Warsha hiyo ilifanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
A 1
 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Dkt. Fidelice Mafumiko akizungumzia na wadau wa sekta ya elimu wakati wa warsha ya utoaji maoni kuhusu mpango wa utoaji elimu kwa Makundi maalum ya vijana na watoto walio chini ya umri wa miaka 17. Kushoto ni Kaimu Kamishna wa Elimu toka Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Bw. Nicolas Bureta. Warsha hiyo ilifanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
A 3
Naibu Mkurugenzi wa Taaluma, Utafiti na Ushauri kutoka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) Dkt. Kassimu Nihuka akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Bw. Fidelice Mafumiko (wa pili kulia) kutoa taarifa kuhusu malengo ya semina kwa wadau wa elimu iliyofanyika hivi karibuni Jijini Dar es salaam.
A 2
Kaimu  Kamishna wa Elimu toka Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Bw. Nicolas Bureta (katikati) akisisitiza jambo kwa washiriki wa semina hiyo. Warsha hiyo ilifanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
A 4
Baadhi ya washiriki wa warsha ya wadau wa elimu iliyoratibiwa na Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Tanzania (TEWW) wakifuatilia hotuba ya Kaimu Kamishna wa Elimu toka Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Bw. Nicolas Bureta (hayupo pichani). Warsha hiyo ilifanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
A 5Kaimu  Kamishna wa Elimu toka Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Bw. Nicolas Bureta (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa semina ya wadau wa elimu  iliyoratibiwa na Taasisi ya Elimu ya watu wazima Tanzania iliyofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Frank Mvungi-MAELEZO)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE