April 1, 2017

TUOMBE........

Mwenyezi Mungu wewe kimbilio letu na mtetezi wetu tunakuja kwako kwa unyenyekevu mwingi tukiomba msamaha wako kwani twajua tumekukosea kwa kuwaza na hata kunena kwetu na tukisema tu wasafi twajidanganya.


Usiku huu Mungu kusudi letu ni kuomba ulinzi wako kwetu na familia zetu, wasafiri na wagonjwa walinde Mungu afya njema kwa wagonjwa ili kesho waamuke wakiwa na afya njema

Zaidi ya yote Mungu bariki nchi yetu na wote wenye mamlaka na kila mdau wa matukiodaima blog  awe na afya njema alale salama na aamke salama kwako Mungu wetu twaomba na kuamini

AMEN

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE