April 16, 2017

SHAMRA SHAMRA, VIGEREGERE VYATAWALA IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE DAR


 Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, wakiimba kwa hamasa wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo wakati wa Ibada ya Pasaka leo.

 Kwaya ya watoto ikiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo kanisani hapo leo
 Waumini wakiwa makini kusikiliza mahubiri wakati wa ibada hiyo ya Pasaka

 Waumini wakiimba na kucheza kwa furaha wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo Wazee wa Kanisa wakiongoza kutoka nje baada ya ibada lumalizika
 Mchungaji Mungubariki Mauki (kushoto) na Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya wakiongoza kuimba wimbo wakati wa kutoka nje baada ya ibada kumalizika
 Waumini wakitoka huku wakiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo


 Mchungaji Mungubariki Mauki akitoa neno la kuwaombea waumini alipokuwa akimalizia ibada ya pasaka nje ya kanisa hilo
 Waumini wakisikiliza neno la mwisho kutoka kwa Mchungaji Mauki kabla ya kuruhusiwa kuondoka
 Waumini wakiondoka kanisani baada ya Ibada ya Pasaka kumalizika Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya akiwa katika picha ya pamoja na familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake

 Mchungaji Mungubariki Mauki akipigapicha na  familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE