Home »
» RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na
waumini wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada
ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo
Jumapili Aprili 16, 2016 |
 |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali
ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam
leo Jumapili Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa
Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali
Pengo na waumini wengi wengine.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar
es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya
Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo
Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na
waumini wengi wengine. |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali
ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam.
Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre
Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la
Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi
wengine. |
 |
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika
Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16,
2016 |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na
waumini wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada
ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo
Jumapili Aprili 16, 2016. |
 |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
mmoja wa watawa baada ya kuhudhuria ibada ya Pasaka katika Kanisa la
Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
Picha na Ikulu
|
0 comments:
Post a Comment
AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE