April 6, 2017

NDUGAI AKUTANA NA MWINJILISTI CRISTOPHER MWAKASEGE


Z
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mama Diana Mwakasege, Mke wa Mwalimu Christopher Mwakasege walipofika kumtembeela ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Z 1
Mwalimu Christopher Mwakasege akifanya maombi kwa ajili ya Spika wa Bunge na Bunge kwa ujumla wakati alipomtembelea Spika ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Z 2
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mwalimu Christopher Mwakasege na ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE