April 6, 2017

MSANII ROMA MKATOTOLIKI AKAMATWA AKIWA STUDIO


Msanii Roma Mkatoliki amekamatwa usiku huu na watu wanaoshukiwa kuwa ni Polisi, amekamatiwa katika studio za Tongwe Records na wenzake wakina Central Zone na wamechukua computer na Tv Flat screen na haijulikani wamepelekwa wapi.
Chanzo cha taarifa hii ni Chanzo; Prof J

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE