April 6, 2017

MBUNGE HALIMA MDEE NA MBOWE MATATANI ,HALIMA ATOWEKA


Spika wa bunge Job Ndugai amemtaka mbunge wa Chadema Jimbo la Kawe jijini Dar es Salama Halima Mdee kujisalimisha bungeni ndani ya masaa 24 kabla ya kukamatwa na polisi. 

Kwa mujibu wa spika Ndugai, mbunge huyo anatuhumiwa kumtukana spika kinyume na taratibu za bunge. 

Wakati huo huo mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na mwenyekiti Taifa chadema Freeman Mbowe pamoja na Mdee watafikishwa kamati ya maadili ya bunge kujadiliwa sababu ya kutumia lugha ya matusi kwa spika 

Habari kamili itawajia hivi punde

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE