April 16, 2017

MAREKANI WAANDAMANA KUTAKA RAIS TRUMP ATANGAZE KODI ALIYOILIPA SERIKALI

Maelfu waandamana kutaka Trump kutangaza kodi aliyolipa kwa serikali
Maelfu waandamana kutaka Trump kutangaza kodi aliyolipa kwa serikali
Maelfu waandamana kutaka Trump kutangaza kodi aliyolipa kwa serikali
 Maelfu waandamana kutaka Trump kutangaza kodi aliyolipa kwa serikali Maelfu waandamana kutaka Trump kutangaza kodi aliyolipa kwa serikali
             Na  BBC
Makumi ya maelfu ya watu kote katika Marekani wamekuwa wakifanya maandamano katika miji mbalimbali wakitaka Rais Donald Trump, kutangaza kodi aliyolipa kwa Serikali, jambo ambalo yeye binafsi amekataa kufanya.

Waandamanaji wengine walibeba sanamu kubwa za kuku, wakimaanisha kuwa Rais ni mwoga na amekataa kutoa takwimu za kodi yake.

Karibu watu 14 wametiwa mbaroni katika Berkeley, katika Carlifornia ambako wafuasi wa Rais Trump na wapinzani wake walikabiliana.
Ingawa hakuna sheria inamlazimu Bwana Trump kutangaza kodi yake, Marais wote wa Marekani wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda wa miongo minne iliyopita.

Maandamano hayo yalipangwa kwenda sambamba na siku ya mwisho ya raia kuwasilisha takwimu zao za kodi.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE