April 10, 2017

MAKAMU WA RAIS AWASILI IRINGA, RC ASEMA MKOA UPO SHWARI KISIASA

viongozi wa mkoa wa Iringa wakiwa tayari kwa mapokezi ya makamu wa Rais mama Samia Suluhu 
Viongozi wa mkoa wa Iringa
SERIKALI ya mkoa wa Iringa imemweleza makamu wa Rais Samia Suhulu kuwa hali ya kisiasa ndani ya mkoa wa Iringa imetulia na hakuna vurugu zozote zinazoendelea. 

Akitoa taarifa ya mkoa wa Iringa Leo jioni baada ya uwasili kwa makamu wa Rais, mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza alisema pamoja na hali ya kisiasa kuwa shwari Ndani ya mkoa bado hali ya ulinzi na usalama mkoa ni shwari. 

Hata hivyo alisema kwa upande wa hali ya chakula mkoa unataraji kupata zaidi kwa kuwa na uhakika wa kuvuna zaidi huku tani 84,000 zinategemewa kuvunwa kwa mazao ya biashara. 

Huku tani 11000 za mbolea mkoa huo jumla ya hekari zaidi ya 200000 kwa ajili ya malisho kwa wafugaji. 

Wavuzi 5484 wapo mkoani Iringa.


0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE