April 3, 2017

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA MGENI RASMI UZINDUZI WA JUKWAA LA NISHATI TANZANIA

A
Mratibu wa Jukwaa la Nishati Tanzania ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Hudson Nkotago akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam,  kuhusu uzinduzi wa Jukwaa hilo utakafanyika tarehe 6 April 2017.Uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa  Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan.Kulia ni Mratibu wa Nishati wa Kanda ya Afrika kutoka Ubalozi wa Falme ya Uholanzi Rogier Verstraeten.
A 2
Mwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi cha Hanze,nchini Uholanzi Dk. Linda Maat akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam,  kuhusu uzinduzi wa Jukwaa hilo utakafanyika tarehe 6 April 2017.Uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa  Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan.Kutoka kulia ni Mratibu wa Nishati wa Kanda ya Afrika kutoka Ubalozi wa Falme ya Uholanzi Rogier Verstraeten na Mratibu wa Jukwaa la Nishati Tanzania ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Hudson Nkotago (katikati).
A 3
 Afisa Sera, Utawala na Uchumi kutoka Ubalozi wa Uholanzi, Neema Matafu akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu uzinduzi wa Jukwaa hilo utakafanyika tarehe 6 April 2017.Uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan.Kulia ni Mratibu wa Nishati wa Kanda ya Afrika kutoka Ubalozi wa Falme ya Uholanzi Rogier Verstraeten.
A 4
 Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano baina yao na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na Ubalozi wa Uholanzi nchini leo Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE