April 26, 2017

MAKAMU WA RAIS ALIVYOSHIRIKI KWENYE MUUNGANO


MUU01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na mabalozi kutoka mataifa tofauti wanaowakilisha nchi zao.(PICHA NA OMR)
MUU3
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mh. Ali Hassan Mwinyi kulia ni Kaimu Jaji Mkuu Mh. Profesa Ibrahim Hamisi Juma
MUU4
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mh. Ali Hassan Mwinyi aliyeketi katikati na kulia ni  Kaimu Jaji Mkuu Mh. Profesa Ibrahim Hamisi Juma
MUU5
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  kulia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dk. Ali Mohamed Shein
MUU6
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dk. Ali Mohamed Shein katikati ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
MUU7
Gadi ya “Komando” la vijana likiwajibika kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
MUU8
Kwaya ya Makongoro kutoka mkoani Mwanza ikitumbuiza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
MUU1
Kikosi cha Komandoo wa JWTZ kikitoa heshima kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
MUU9

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE