April 21, 2017

MAANDALIZI YA UWANJA WA SAMORA IRINGA KWA AJILI YA LIGI KUU YANAENDELEA

Viongozi w TFF Taifa  na mwenyeji wake  wa TFF Iringa Dkt  Ally  Ngalla wakitembelea  uwanja  wa  samora  Iringa ambao  unafanyiwa marekebisho  makubwa  kwa  ajili ya  Ligi  kuu Msimu ujao  uwanja  wa nyumbani kwa  timu ya  Lipuli  Fc
Hivi  ndivyo  uwanja  wa samora unavyopendeza
Chumba  cha  kurushia matangazo ya  Radio
Chumba  cha  timu ya  wageni
Chumba  cha kubadilishia  nguo  kwa  wenyeji Lipuli  Fc
Chumba  cha kurushia  matangazo ya TV
Chumba  cha  waamuzi

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE