April 13, 2017

KIWANDA KIPYA CHA MAJI YA MKWAWA IRINGA KUZINDULIWA KWA MBIO ZA MAGARI , RC IRINGA APONGEZA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUSHUHUDIA KWA UMAKINIKwani  alisema  kuanzishwa kwa  kiwanda kipya cha maji ndani ya Manispaa ya  Iringa  kunaongeza  sekta ya  viwanda na  ni sehemu ya  utekelezaji wa ilani ya  CCM na  ahadi za  Rais  Dkt  John Magufuli ya  kuifanya Tanzania  kuwa ni  nchi ya  viwanda .
Hivyo  aliwataka  wananchi  kujitokeza kwa  wingi  kushuhudia  mashindano hayo ila  kuwa makini na zaidi kwani mashindano ni mashindano na  magari  yanaweza  kukosea  njia  hivyo si vizuri  kukaa jirani na barabara  badala  yake  kuchukua  tahadhari wakati wa  kushuhudia mbio  hizo  za magari .
Alisema kwa  mujibu wa waandaaji  na ratiba  ambayo  ofisi yake  inayo ni  kuwa  mashindano hayo yataanza uwanja wa  Samora  April 22 kwa  kupitia  njia ya Tumaini  chuo  ,Kingozile , ,Mgongo, na baadae kuanzia  Igingilinyi  kwenda  Kiwele hadi chuo cha Mkwawa  .
 Wakati siku inayofuata ya  Aprili 23 yataanzia  Wenda mbaka  Tanangozi  pia  Ifunda kupitia  KIponzero na wEnda  hadi Ihemi  wakati  eneo la kufanya ukarabati wa magari   litakuwa ni Ipogolo Garege ya  Mt  Huwel .

Mkuu  huyo  wa mkoa ambae ni mwenyekiti wa kamati ya  ulinzi na usalama mkoa wa Iringa  alisema  kamati ya  ulinzi  ipo   kamili  kuhakikisha  kila jambo linakwenda  salama .
USIKOSE  KUTEMBELEA  MTANDAO  HUU  WA MATUKIODAIMA AMBAO UNA  WATAZAMAJI ZAIDI YA MILIONI 12 DUNIANI KUSHUHUDIA  LIVE MA
<

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE