April 19, 2017

KAMA YA BUNGENI LEO YALIKUPITA,YAPATE HAPA


A
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson  akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
A 1
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Suleimani Jafo akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
A 4
 Naibu Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Susan Kolimba akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
A 2
 Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
A 3
 Mbunge wa Mwibala (CCM) Mhe. Kangi Lugola  akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
A 5
 Mbunge wa Viti Maalum Morogoro (CCM) Mhe. Christina Ishengoma akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
unnamed
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
A 6
 Naibu Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dkt.  Ashatu Kijaji akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
A 7
 Mbunge wa Chilonwa  (CCM) Mhe. Joel Makanyanga  akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
A 8
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani  akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017.
A 9
 Mbunge wa Viti Maalum Arusha (CCM) Mhe. Catherine Magige  akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
A 10
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.  akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19,2017
A 11
Mbunge wa Mikumi (CHADEMA) Mhe. Joseph Haule akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Z
Mbunge wa Busokelo (CCCM) Mhe. Fredy Mwakibete akiuliza swali katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Z 1
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akimsikiliza Naibu wake Mhe. Anastazia Wambura  wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Z 2
 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura  wakijadiliana jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Z 3
 Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizaba wakijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage katika kikao cha Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017.
Z 5
 Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 19, 2017. 
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE