April 1, 2017

HUYU NI BILIONEA MASIKINI

Tarehe 1 ya mwezi wa nne kilamwaka ilianza kuitwa siku ya wajinga kama kumbukumbu ya Steve Aprili. Steve April alizaliwa tarehe 1, ya mwezi wanne mwaka 1579 katika familia ya kitajiri huko Marekeni.

Enzi za uhai wake alimiliki zaidi ya biashara 105 na bado alibaki kuwa masikini wa kutupwa. Alipoteza kila kitu kutokana na matumizi yake mabovu na familia ikamtenga.

Watu walianza kumwita Steve April baba wa wajinga, kwani alikuwa akiamini kila aina ya habari za uzushi na uongo kama hii unayoisoma hapa.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE