April 7, 2017

HITMA YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR KARUME

A
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo.
A 1
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan akifuatana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo.
A 2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo. 
A 3
 Sheikh Sharif Abdulrahman Muhidin akisoma Quran ya Ufunguzi wa Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo.
A 4
 Viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Abeid Karume (wa pili kushoto) wakiwa katika kisoma Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo.
A 5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kisomo cha Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo.
A 6
 Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo.
A 7
Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar   Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo.
A 8
 Wake wa Viongozi wakuu wa Kitaifa wakiwa katika kisomo cha Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamned Shein.
Z
 Wake wa Viongozi Wakuu wa Kitaifa wakiwa kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume wakati wa kuwekwa mashada la mauwa na Viongozi mbali mbali kaburini hapo baada ya dua ya khitma iliyosomwa leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo kila ifikapo tr 07 April hufanyika zoezi kama hili. 
Z 1
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar.
Z 2
 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar.
Z 3
Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance Salvatori Mabeyo akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar.
Z 4
 Kiongozi wa Mabalozi wadogo wa Zanzibar pia Balozi Mdogo wa Msumbiji Jorge Augusto Menezes akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar.
Z 5
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Afrika Mashariki Augustono Mahiga baada ya uwekaji wa mashada ya mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume,baada ya kisomo cha khitma iliyosomwa leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa walihudhuria hafla hiyo. 
VVVVVV
Vijana wa Umoja wa Maaskari Wastaafu wa UMAWA wakiimba wimbo wa mshujaa (SISISOTE TUMEGOMBOKA) baada ya matembezi yao yalioanzia Kijangwani hadi Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,ambapo matembezi hayo yalipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi) (hayupo pichani) katika Khitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyosomwa leo,[Picha na Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE