April 24, 2017

GARI LA ZIMAMOTO IRINGA LAPATA AJALI LAJERUHI WATANO

askari watano wa kikosi cha zimamoto na uokoaji mkoa wa Iringa wamejeruhiwa baada ya gari yao waliokuwa wakiituia kwenda kuzima moto eneo la Mkungugu kupata ajali usiku wa Leo. 

Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha japo taarifa zaidi tutazidi kuwajuza. 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE