April 18, 2017

DC IRINGA AANZA NA WASALITI WA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS


Siku moja baada ya mtandao huu wa matukiodaima kuibua habari ya halmashauri ya Manispaa ya Iringa  kupuuza agizo la makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan la utunzaji wa mazingira, mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela afanya ziara ya ghafla eneo hilo  

Mkuu huyo wa wilaya mapema leo kabla ya kungia ofisini amefika eneo hilo na kupiga marufuku uvamizi huo. 

Akiwa eneo hilo ametangaza kuwachukulia hatua kali wote walioharibu mazingia ya mlima Ipogolo .

Uharibifu huu umenisitisha pia mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza na amesema hatafumbia  hili. 

Mtandao wa matukiodaima utaendelea kukupa taarifa zaidi ya yani katumbuliwa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE