April 5, 2017

BREAKINGNEWS MOTO WATEKETEZA NYUMBA ENEO LA ILALA IRINGA MJINI

kikosi cha zimamoto na uokoaji mjini Iringa wakizima moto uliokuwa ukiteketeza nyumba eneo la Ilala mjini Iringa asubuhi hii
MOTO ambao chanzo chake bado kufahamika umeteketeza nyumba ya mkazi mmoja wa Ilala mjini Iringa leo. 

Kwa mujibu wa maahuhuda waliozungumza na mtandao wa matukiodaimablog wamesema bado chanzo cha Moto huo kujulikana na kuwa zimamoto wamefika kwa wakati kuzima moto huo. 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE