April 27, 2017

BREAKING NEWS JESCA MSAMBATAVANGU AKAMATWA NA POLISI

ALIYEKUWA  mwenyekiti  wa    wa  chama  cha  mapinduzi  (CCM)  mkoa  wa  Iringa aliyefukuzwa  chama   hicho  kwa  usaliti  wakati  wa  uchaguzi  mkuu mwaka  2015  Dkt  Jesca  Msambatavangu amekamatwa  na  jeshi la  polisi   mchana  wa  leo habari kamili  itakujia  au  soma  gazeti la Mtanzania  kesho

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE