April 21, 2017

BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YAWAASA TENA WADAIWA


Coat_of_arms_of_Tanzania.svg
Benjamin Sawe,Maelezo.
Bodi ya mikopo ya Elimu ya Juu nchini imewataka wanaodaiwa na Bodi hiyo kurejesha mikopo yao ili na wengine waweze kukopa badala ya kusubiri kuchukuliwa hatua.
Akiongea katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa naTelevisheni ya Taifa (TBC) Mkurugenzi wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya Juu Abdul Badru alisema tangu waanze mfumo wa kuwabana wadaiwa kupitia waajiri wao kasi ya urejeshwaji mikopo imeongezeka.
Alisema pamoja na kuwabana pia wamekuwa wakitoa elimu kuhusu umuhimu wa kurejesha mikopo hiyo pamoja na kutunga sheria ya kuwabana wasio lipa mikopo.
Awalikablayakuwekwakwamsukumokatikakudaimikopohiyourejeshwajiulikuwawastaniwashilingibilioni 5 mpaka 6 kwamwezilakinikwasasawanapatamarejeshoyamikopozaidiyaBilioni 10.
Bw. Badrualisemahivisasawameboreshamfumowautoajimikopokwakuzibamianyayawanafunzihewapamojana wale wasiokuwanasifaambaowamekuwawakipelekavielelezovyauongo.
Alisemalichayakupitishwakwaorodhayawanafunziwanaostahilimikopouhakikiumekuwaukifanyikakilabaadayamiezimitatuambapomaofisawabodihiyohuendavyuoniilikujiridhishakamawanafunziwaliolengwakwenyemikopohiyowapo.
“Kwa mfanomwakajanawanafunzielfutatumiongonimwawalioombamikopokwamadaiyakufiwanawazaziwaliwasilishavyetivyaVifovyawazaziwaoambavyobaadayakupelekwa RITA walishindwakuvitambua”Alisema BADRU.
Alisemamwanafunzianayekosamkopokamaanavyovigezovyotevinavyotakiwahutakiwakukatarufaailiufanyikeupitiajiupyawanyarakazake.
Kwa mwakawafedha 2016/2017 jumlayashilingiBilioni 483 zimetengwakwaajiliyakuwakopeshawanafunzi 120,000 kutokavyuotofautinchini.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE