April 2, 2017

ASKOFU MKUU WA KANISA LA PENTECOSTE TUMAINI CENTRE AZINDUA KANISA HILO IRINGA ATAKA RAIS DKT MAGUFULI AENDELEE KUOMBEWA

Askofu mkuu wa kanisa hilo Dr Rejoice Ndalima akiongoza kuelekea kuzindua hema la muda kwa ajili ya kanisa la  Pentecoste Tumaini Gospel Centre Iringa
Askofu mkuu wa kanisa hilo Dr Rejoice Ndalima akizindua  hema la muda kwa ajili ya kanisa la  Pentecoste Tumaini Gospel Centre Iringa


 Askofu mkuu wa kanisa hilo Dr Rejoice Ndalima akizindua  hema la muda kwa ajili ya kanisa la  Pentecoste Tumaini Gospel Centre Iringa
Askofu mkuu wa kanisa hilo Dr Rejoice Ndalima akizungumza na waumini wa kanisa hilo baada  kuzindua  hema la muda kwa ajili ya kanisa la  Pentecoste Tumaini Gospel Centre Iringa

Askofu mkuu wa kanisa hilo Dr Rejoice Ndalima akiwabariki mchungaji kiongozi wa kanisa hilo Iringa Paul na mkewe baada ya kuzindua  hema la muda kwa ajili ya kanisa la  Pentecoste Tumaini Gospel Centre Iringa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE