Matukio Daima

Tembelea kila siku kwa habari na matukio mbali mbali..

Matukio Daima

Kwa Habari za Kitaifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Kimataifa.

Matukio Daima

Kwa Habari za Uchumi na Biashara.

Matukio Daima

Kwa Habari za Michezo na Burudani.

April 30, 2017

WATUMISHI WENYE VYETI VYAO MANISPAA YA IRINGA WAKUSANYIKA NJE YA OFISI

Pamoja na kuwa Leo ni jumapili watumishi hawa wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamekusanyika nje ya ofisi kutafakari sakata la vyeti feki baada ya Rais kukabidhiwa Orodha hiyo, manispaa ya Iringa inawatumishi wenye vyeti feki zaidi ya 40

AJALI IHOFI WASAFIRI WAKWAMA

Magari  yakiwa yamekwama eneo la  Ihofi Morogoro baada ya   lori la mafuta  kuteketea kwa  moto na  kuziba  barabara  jana