March 16, 2017

WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA IRINGA AMPONGEZA MFADHILI ASAS


JUKIIIWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ummy Mwalimu akizungumza na wazazi kwenye wodi ya wazazi hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa leo 
Waziri Wa Afya akipata maelezo ya damu salama baada ya familia ya Salim Asas kusaidia ujenzi wa jengo na vifaa vya kuhifadhia damu kwa zaidi ya Tsh milioni 250
Waziri wa afya akizungumza na viongozi wa mkoa wa Iringa

Waziri huyo amempongeza  kampuni ya  Asas Ltd ya mkoani Iringa  kwa kujitolea fedha zaidi ya Tsh milioni 250 kujenga kituo cha damu salaam na kuwa wizara yake itasaidia gari la wagonjwa pamoja na magodoro na vitanda 20 kwa ajili ya wodi ya wazazi

Habari kamili hivi punde pia ktk gazeti la Mtanzania kesho ijumaa 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE