March 14, 2017

WATU WATANO AKIWEMO MBUNGE WA NYAMAGANA NA MWANAHABARI DOTTO WAPATA AJALI

Watu watano akiwemo mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi John Dotto (Pichani) na mbunge wa Nyamagana Mkoani Mwanza Stanslaus Mabula wamenusurika kifo baada ya kupata ajali eneo la Dumila

Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia Leo imehusisha gari lao kugongana na Treckta lililokuwa likiengia bila Tahadhari barabara kuu .

Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro. (chanzo ni mwandishi wa ITV Morogoro Vedasto Msungu)

Taarifa zaidi tutazidi kuwapasha endelea kutembelea mtandao huu wa matukiodaimaBlog 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE