March 8, 2017

WANAWAKE WANA UWEZO MKUBWA KIUTENDAJI KATIKA JAMII YETU- Mhe. Kairuki

1
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (katikati) akizungumza mapema leo katika kipindi cha JAMBO kinachotangazwa na TBC One kuhusu nafasi ya mwanamke katika uongozi katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Wengine katika picha ni waongozaji wa kipindi hicho, kushoto ni Bi. Eshe Muhidin na kulia ni Bi. Angellah Mang’enya wa TBC.
2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (katikati) akitoa msisitizo mapema leo katika kipindi cha JAMBO kinachotangazwa na TBC One kuhusu nafasi ya mwanamke katika uongozi ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Wengine ni waongozaji wa kipindi hicho kushoto ni Bi. Eshe Muhidin na kulia ni Bi. Angellah Mang’enya.
3
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza mapema leo katika kipindi cha JAMBO kinachotangazwa na TBC one-Taifa kuhusu nafasi ya mwanamke kwenye uongozi ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
4
Mkurugenzi wa Kitengo cha Anuai za Jamii, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma (katikati) Bi. Anne Mazalla akifafanua jambo mapema leo kuhusiana na masuala mbalimbali ya Anuai za Jamii katika Utumishi wa Umma na Siku ya Wanawake Duniani wakati wa Kipindi cha JAMBO kinachotangazwa na TBC one. Wengine ni waongozaji wa kipindi hicho kushoto ni Bi. Eshe Muhidin na kulia ni Bi. Angellah Mang’enya.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE