March 22, 2017

WANANCHI WA KATA ZA MLOWA NA NZIHI WAPONGEZA KASI YA KUJIUNGA NA CHF

Mkurigenzi mtendaji wa MMADEA Raphael Mtitu kushoto akifuatelia utekwlezaji wa mradi huo kwa kata ya Mlowa.
.......................

Wananchi wa kata ya Mlowa katika wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamepongeza asasi isiyo ya kiserikali ya MMADEA kuelimisha jamii kujiunga na mifuko ya afya kama CHF

Wakizungumza kwa nyakati tofauti leo wakazi wa kijiji cha Mafuluto, Nyamahana kata ya Mlowa na wakazi Ilala simba na Nzihi wamesema mradi huo wa MMADEA umechochea kasi ya wananchi kujiunga na mfuko wa CHF. 

Huku mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Mafuluto na Bahath kazimoto ameomba MMADEA kuzidi kutoa elimu hiyo na kudai changamoto kubwa ni ukosefu wa mradi wa maji safi na salama 

Afisa mtendaji wa kata ya Mlowe Leoni Msigwa amesema kuwa mradi huo wa MMADEA umewezesha kata hiyo kufanya vizuri katika wananchi kujiunga na CHF na kuwa kati ya kaya 720 waliojiunga ni kaya 680

Akizungumzia kuhusu mradi huo Mkurugenzi wa MMADEA Raphael Mtitu alisema kuwa mradi huo wa uhamasishaji wa ushiriki wa wananchi katika uboreshwaji wa huduma za afya pamoja na kuisimamia serikali ulianza mwaka 2015 na umeleta faida kubwa kwa jamii.
[3/22, 1:37 PM] Francis Godwin ( FG): Wananchi wa kata ya Mlowa katika wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamepongeza asasi isiyo ya kiserikali ya MMADEA kuelimisha jamii kujiunga na mifuko ya afya kama CHF

Wakizungumza kwa nyakati tofauti leo wakazi wa kijiji cha Mafuluto, Nyamahana kata ya Mlowa na wakazi Ilala simba na Nzihi wamesema mradi huo wa MMADEA umechochea kasi ya wananchi kujiunga na mfuko wa CHF. 

Huku mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Mafuluto na Bahath kazimoto ameomba MMADEA kuzidi kutoa elimu hiyo na kudai changamoto kubwa ni ukosefu wa mradi wa maji safi na salama .

Afisa mtendaji wa kata ya Mlowe Leoni Msigwa amesema kuwa mradi huo wa MMADEA umewezesha kata hiyo kufanya vizuri katika wananchi kujiunga na CHF na kuwa kati ya kaya 720 waliojiunga ni kaya 680

Akizungumzia kuhusu mradi huo Mkurugenzi wa MMADEA Raphael Mtitu alisema kuwa mradi huo wa uhamasishaji wa ushiriki wa wananchi katika uboreshwaji wa huduma za afya pamoja na kuisimamia serikali ulianza mwaka 2015 na umeleta faida kubwa kwa jamii. 
Mwenyekiti wa kijiji cha Mafuluto Bahath Leoni akizungumzia mradi wa MMADEA
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mafuluto wilaya ya Iringa waliozungumzia mradi wa MMADEA

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE