March 26, 2017

WABUNGE WAVUTIWA NA HUDUMA NZURI ZA SUNSET HOTEL WASEMA NI HOTELI YA KISASA IRINGA

Wabunge  wa kamati ya utawala  na  serikali  za  mitaa  wakiwa na mwenyekiti wao Venance  Mwamoto  mbunge wa kilolo  wakifurahia mazingira ya  hoteli  ya  Iringa  Sun Set Hoteli iliyopo  Gangilonga mjini  Iringa
Mwonekano  wa Hoteli   hiyo
Wabunge  hao  wakizungmza  na raia wa  kigeni  waliofika kufurahia  maisha  Hoteli ya  Iringa Sunset

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE