March 9, 2017

UJUMBE TOKA KWA MKUU WA ITIFAKI HINJUSON GEOFREY LEO

Mkuu wa  itifaki Hinjuson Geofrey  akipokea mkono wa  salaamu za pongezi kutoka kwa mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi Unguja  Zanzibar  Ayubu Mohamed Mara baada ya mkuu wa itifaki  Geofrey kumaliza kuchangia mada zilizokisha wasilishwa katika mkutano wabaraza la vijana la wilaya ya Magharib B 
Mkuu wa  itifaki Hinjuson Geofrey akichangia mada
...........................................................
Shughuli hiyo ilianza kwa maandamano kutoka ofisi  ya mkuu wa wilaya  hiyo ya Magharibi B hadi  katika Vviwanja vya  nyarugusu kwenye kongamano hilo ambalo walipokelewa na mgeni rasmi  mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi  Ayubu Mohamed Mohamed  pamoja na waziri wa maendeleo ya wanawake , watoto na wazee  wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ya Zanzibar  pamoja na naibu waziri wa  sharia na waserikali ya mapinduzi ya  Zanzibar pichani hapo juu meza  kuu tilizungumza juu ya kipiga vita swala  ushoga katika  Zanzibar matumizi ya ununuzi na uuzwaji wa dawa za kulevya  ukatiri wa kijinsia kati ya wanawake na watoto na  hivyo nami nilipata fursa ya kuchangia mada hizo kongamano lilikuwa nzuri sana

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE