March 13, 2017

TTB YAANDAA MKAKATI MAALUMU KUKAMATA MASOKO YA ULAYA NA MAREKANI

QH
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bi Devota Mdachi (kushoto) na Dr.Auliana Poon Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni Tourism Intelligence International wakisaini mkataba kwa ajili ya mkakatiwa TTB kwa soko la Marekani huku Mwenyekiti wa TTB Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akishuhudia utiaji saini huo.

QH 1
Bi Devota Mdachi, Mkurugenzi Mwendeshaji w TTB akibadilishana mkataba na Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya 7o7 Marketing GmbH Limited Bw. Recknagel Markus mara tu baada ya kusaini mkataba huo kwa ajili ya soko la Ujerumani.

QH 2                                               
Dr.Auliana Poon wa Kampuni ya Tourism Intelligence International ya Marekani akibadilisha na mkatabana Bi Deota Mdachi, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TTB mara baada ya kusaini.

QH 3
Bw. Recknagel Markus, Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya 7o7 Marketing GmbH ya ujerumani na Mkurugenzi mwendeshaji wa TTB Bi Devota Mdachi wakionyesha jarida la TTB lililotayarishwa kwa lugha ya Kijerumani kwa lengo la kuutangaza utalii na vivutio vya utalii vya Tanzania katka soko la ujerumani na nchi zinazozungumza Kijerumani.

Na: GeofreyTengeneza – Berlin
BodiyaUtalii Tanzania (TTB) imeingiamkatabanakampunitatuzaUlayanaMarekaniilikutayarishamikakatimaalumuyautangazajiutaliimahsusikatikanchizaUjerumani, UingerezanaMarekaniikiwaniutekelezajiwamkakatiwakuhakikishainajipenyezazaidikaikamasokoyamakuuyautaliiyalioanishwakatikamkakatiwaUtangazajiutaliiwakimataifawamiakamitanokatikamasokombalimbaliyautaliiduniani.
MkatabahuoumesainiwakatikamaoneshoyaKimataifayautaliiya ITB katikabanda la Tanzania naMkurugeniMwendeshajiwaBodiyaUtalii Tanzania Bi DevotaMdachinaWakurugenziwakuuwakampunihizoambazoni Africa Oracle Companykwaajiliyasoko la Uingereza, 7o7 Marketing GmbH Ltdkwaajiliyasoko la UjerumaninaTourism IntelligenceInternational kwajiliyasoko la Marekani.
KwaMujibuwaMenejaMasokowa TTB Bw. GeofreyMeenapamojanakuwamkakatiwaKimataifawamiakamitanoumeainishamasokokuminambiliyautaliiduniani,  wameamuakuanzanamasokohayomatatukwakuwanimiongonimwamasokomuhimukwa Tanzania hivisasa. Masokomakubwamanneyanaoongozakwawataliiwengikutembelea Tanzania niMarekani, Uingereza, Italia naUjerumani.
“Kwakuanziatumeanzanamasokohayanabaadaetutakwendapiakatikamasokomengine.Wataalamuhawakutokamasokohayomatatuwakikamilishakututayarishiamikakatihiyomaalumukwakilasokoitatusaidiakujuambinuganisahihizakujipenyezanakulikamatakikamilifukilasoko” alisemaBw. Meena
KusainiwakwamikatabahiikumefanyikasikumojatubaadayaBodiyaUtalii Tanzania kusainimkatabawaushirikianonaMamlakayaUkuzajiUtaliiya Mauritius katikautangazajiwapamojawautaliiwanchihizombili.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE