March 17, 2017

SHULE YA MSINGI NYANZWA MFANO WA KUIGWA YATOA UJI KWA WATOTO

mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Nyanzwa wilaya ya Kilolo Venance Mbogo akigawa uji kwa wanafunzi leo, wazazi wa Nyanzwa wamekuwa na utamaduni wa kuchangia chakula kwa ajili ya watoto wao Kwa lengo la kuongeza uwezo wa kimasomo pongezi nyingi Kwa wazazi shule nyingine igeni mfano huu

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE