March 28, 2017

SETH KASUGA NI KIJANA MWANAHABARI ALIYEPANIA KUIWAKILISHA TANZANIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ANAOMBA KURA YAKO MBUNGE

Wakati pazia kwa wagombea wa nafasi ubunge wa Afrika Mashariki limefunguliwa mwanahabari chipukizi Seki Boniventure Kasuga amesema ana uwezo wa kuwatumikia watanzania vema katika nafasi hiyo hivyo kuomba kura yako mbunge. 

seki Kasuga si jina geni nchini kwani amepata kuongoza nafasi mbali mbali ndani ya CCM na hivyo Ubunge wa EALA ( Tanzania bara ) Mgombea Namba 14*

UZOEFU: *Mjumbe wa baraza kuu Taifa CCM 2012-2017**mjumbe kamati ya utekelezaji taifa*
TAALUMA:  *Masters uandishi wa habari na uendeshaji vyombo ya habari*
Naomba Kura Yako*SEKI BONIVENTURE KASUGA* Tanzania bara *no. 14*

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE