March 8, 2017

R.D.O YAPONGEZWA ,RC MASENZA AWAONYA WAZAZI KUACHA KUTUMA WATOTO USIKU WALA KUWALAZA WAGENI CHUMBA KIMOJA NA WATOTO

Mkurugenzi  wa asasi  isiyo ya  kiserikali ya  R.D.O ambayo  inajihusisha na  huduma  za  kijamii wilaya ya Mufindi na Kilolo Fidelis  Filipatali akimkabidhi mkuu  wa mkoa  wa  Iringa Amina Masenza zawadi ya  keki
Mkuu  wa  mkoa wa Iringa  Amina Masenza  akiwa katika  picha ya  pamoja na  watenda kazi wa R.D.O


Wanawake  wakiwa na furaha  tele
Mkuu  wa mkoa  wa Iringa Amina Masenza  kulia na mwenyekiti wa UWT Mufindi  Marcelina Mkini  wakichota maji
Diwani  wa kata ya  Mdabulo akiwa amebebwa  juu juu na  wanawake baada ya  diwani huyo  kuimba shairi  lenye mvuto kwa  wanawake
Mkurugenzi wa R.D.O Bw  Filipatali  kulia  akiuongoza  msafara wa  mkuu   wa mkoa wa Iringa
Mkuu  wa mkoa wa  Iringa Amina Masenza  akiwahutubia  wanawake
Katibu  wa CCM wilaya ya  Mufindi Jimson Mhagama  kulia  na mwenyekiti wa UWT  Mufindi Marcelina Mkini  na mratibu wa  wanawake mkoa  wa Iringa mama  Sanga  wakifuatilia  hotuba ya  mkuu wa  mkoa
Watumishi  ofisi ya  RC  Iringa  wakitoa  zawadi kwa  ajili ya Yatima
Wasanii  wa Ibwanzi  wakiigiza  kama  Rais
Mkuu  wa  mkoa  akitembelea  banda ya  benki ya Mucoba
Mkuu wa  mkoa akipokea  risala ya  R.D.O
Kazi zinazofanywa na wanafunzi wa R.D.O
Mwenyekiti wa  sherehe  za  wanawake  Mufindi
Wafanyakazi ofisi ya  mkuu wa mkoa  wakiingia kwa maandamano 
Wanafunzi  wa sekondari ya  Mdabulo  wakicheza  igizo la unyanyasaji wa mwanamke
Mkuu  wa mkoa wa Iringa Amina Masenza  akitoa msaada kwa yatima  wanaolelewa na R.D.O
Wafanyakazi ofisi ya  mkuu wa mkoa  wa Iringa  wakitoa  misaada  yao kwa  yatima
Mkuu wa  mkoa wa  Iringa Amina Masenza na mwenyekiti  wa  UWT Marcelina Mkini ambae  ni  mjumbe wa NEC Taifa  kutoka  wilaya ya Mufindi  wakimtwisha  ndoo ya maji mmoja  kati ya  wanawake  wakazi wa Ikanga  kata ya Mdabulo  wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji  uliofadhiliwa na RDOMkuu  wa mkoa  wa Iringa  Amina  Masenza  akiwa na wa wafanyakazi wa RDO  na viongozi wa  wilaya ya Mufindi mara  baada ya  kumalizika kwa sherehe za  siku ya  wanawake  duniani
Mkuu  wa mkoa  wa Iringa  Amina Masenza kushoto na mwenyekiti wa UWT  Mufindi Marcelina Mkini  wakiongoza  maandamano ya  wananchi  Ikanga  kata ya  Mdabulo
Wanawake  kutoka  ofisi ya  mkuu wa mkoa  wa Iringa
Na  MatukiodaimaBlog
MKUU  wa mkoa wa Iringa Amina Masenza awataka wananchi mkoani hapa kutowaruhusu wageni kulala na watoto chumba kimoja. Zaidi soma gazeti la mtanzania kesho 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE