March 8, 2017

RC IRINGA AMINA MASENZA AWASILI MUFINDI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE KIMKO

mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza  kushoto akipokelewa asubuhi hii na mwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Marcelina Mkini ambae ni mjumbe wa NEC Taifa kutoka wilaya ya Mufindi,mkuu wa mkoa amepolewa ofisi ya DC Mufindi kwa ajili ya kwenda kijiji cha Ikanga kata ya Mdabulo ambako maadhimisho hayo yanafanyika kimkoa 
Mkuu wa mkoa Amina Masenza akisalimiana na viongozi mbali mbali

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE