March 18, 2017

RAIS WETU NI DKT MAGUFULI, TUNDU LISU KACHAGULIWA NA NANI?

Kumfananisha Rais Dkt John  Magufuli ama Dkt ALLI SHEIN na Tundu Lisu ni ufinyu wa mawazo Rais Magufuli na Dkt Shein ni Rais wa watanzania zaidi ya milioni 30 hivi TLS ina wanasheria wangapi kama si chini ya 2000 wakati Rais wa Simba pekee ana wanachama zaidi ya 500000 nchi nzima wakati Rais wa wanahabari ana wanachama zaidi ya 60000  nchi nzima hivi Lisu kweli wa kumlinganisha na Rais wetu wa nchi anayeunganisha watanzania wote wanasheria, viongozi wa dini, wakulima na wasomi pia wasio wasomi tuache kujipa moyo bado yupo chini tumpongeze kwa kushinda ila si kujilnganisha na Rais wetu

Sipendi kabisa kuwafananisha marais wetu na viongozi wa Taasisi ndogo hivi ni sahihi leo kumlinganisha Rais wa Simba au TLS ambao wote wapo chini ya katiba ya nchi na hao wa vyama vya taasisi vinavyotii katiba ya nchi 

Tuacheni dharau Tundu Lisu ni chini ya Katiba na yupo chini ya Rais wetu hapaswi kutukuzwa daima Mimi na Tanzania heshima zote kwa Rais wa nchi Rais wa wote Dkt John Magufuli pekee
NASEMA RAIS WA WATANZANIA WOTE NI DKT JOHN POMBE MAGUFULI, TUNDU LISU NI RAIS WA NANI? 

Mungu mpe afya njema Rais wetu watanzania Dkt Magufuli pia ibariki Tanzania
 Imetolewa na matukiodaimablog

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE