March 5, 2017

RAIS DK. SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA


IND1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na  Mhe, Airlangga Hartarto
miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia pamoja na Viongozi wa
wengine wa Nchi hiyo pia akiwepo na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo
na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed (kulia)alipowasili katika uwanja wa
Ndege wa Nchi Indonesia,Rais Shein anamuwakilisha Rais John Pombe
Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya
Hindi IORA Nchini Indonesia, [Picha na Ikulu.] 05/3/2017.
IND2

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE