March 1, 2017

PROF. MBARAWA AZINDUA SCANNER MPYA BANDARINI

raw1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (katikati), akitilia saini na Balozi wa China Nchini, Dk. Lu Youqing (kulia) ya kukabidhiana scanner mpya ambazo zimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko.
raw2
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa scanner mpya ambazo zimezinduliwa leo jijini Dar es Salaam. Wa tatu kushoto ni Balozi wa China Nchini, Dk. Lu Youqing.
raw3
Muonekano wa Scanner Mpya ambazo zimenunuliwa kwa msaada kutoka Jamhuri ya Watu wa China. Scanner hizo mpya moja imefungwa katika bandari ya Dar es Salaam na nyingine itafungwa katika bandari ya Tanga.
raw4
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (wa pili kushoto) na Balozi wa China Nchini, Dk. Lu Youqing (wa kwanza kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa  Scanner, mara baada ya kuzindua scanner mpya zitakazotumika katika Bandari za Dar es Salaam na Tanga.  

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE