March 13, 2017

PICHA ZA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM DODOMA

LUMU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  katika Mkutano Mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo Mkoani Dodoma.
LUMU 1
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa  katika Mkutano Mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo Mkoani Dodoma.
LUMU 3
Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiteta jambo na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein katika Mkutano Mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma.
LUMU 4
Wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM wa Mkoa wa Pwani wakifuatilia kwa makini matamko na taarifa mbali mbali zilizotolewa katika mkutano huo uliofanyika le chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.
LUMU 5
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM wa Mkoa wa Mjini Unguja wakifuatilia kwa makini matamko na taarifa mbali mbali zilizotolewa katika mkutano huo uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma.
LUMU 6
 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kutoka Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.
LUMU 7
 Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kutoka Zanzibar katika Mikoa mbali mbali wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.
LUMU 8
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kutoka Mkoa wa Kusini Unguja  wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.
LUMU 9
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli(wa pili kushoto) Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Philp Mangula(kulia) na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Omar Kinana wakifurahia mara walipoingia katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.
LUMU 10
 Wake wa Viongozi wakuu wa Nchi wapeperusha Bendera na wakifurahia Mkutano Mkuu Maalum wa CCM mara walipoingia katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.
LUMU 11
Wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM wa Mikoa mbali mbali ya Bara na Visiwani  wakimsikiliza Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo  uliofanyika leo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.
LUMU 12
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa mkutano  Mkuu maalum wa CCM  uliofanyika leo katika ukumbi mpya uliopewa jina la Kiwete Hall nje ya Mji wa Dodoma,[Picha na Ikulu.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE